Klabu cha soka Cha Simba chenye maskani yake mtaa wa Msimbazi umewasainisha wachezaji wawili watakao itumikia klabu hiyo ya simba katika msimu wa ligi kuu .
Wachezaji waliosajiriwa ni pamoja na mchezaji wa Zamani wa Timu hiyo Shaban Kisiga aliyekuwa akiitumikia Mtibwa sugar ya Morogoro akitokea Nje ya Nchi kabla ya kusaini Mtibwa na Elias Magoli alikuwa akiichezea Ruvu Shooting
Makamu wa rais wa simba Gofrey Nyange Kaborou ndiye aliyewatambulisha .
Aidha kwa upande kiungo aliyerejea simba Shaban kisiga amesema yeye yupo simba kwa ajiri ya kuitetea simba ,
Aidha mshambuliaji mpya wa Timu hiyo Elias Maguli hakupishana sana na Kisiga naye alikuwa na haya ya Kusema
No comments:
Post a Comment