Timu ya soka ya Yanga inatarajia kujigawa katika mafungu mawili ikiwa inajiandaa na ligi kuu soka Tanzania Bara ambapo kwa Mujibu wa Kocha wa Timu hiyo Mbrazil marcio Maximo amesema yeye kwa sasa lengo lake kuijenga Timu kwa ajiri ya Ligi kuu Tanzania na sio michuano ya Kagame ambayo hadi sasa amesema bado hajaiwekea umaanani lakini akasisitiza kuwa Badohajaweza fanikiwa kuona nani atamfaa zaidi katika michuano hiyo, ukizingatia kuna wachezaji ambao wapo timu ya taifa na wengine bado hajawaona kama kiiza na Okwi .
Aidha amesema kuwa yeye atabaki na baadhi ya wachezaji ili Aende nao Pemba na Baaadhi watakwenda Rwanda na kocha wake msaidizi Leo.
BOFYA
No comments:
Post a Comment